Kama lazima nife
Translated to Swahili by @DoktorYakubKama lazima nife
Lazima uishi
Kwa kusimulia hadithi yangu
Kwa kuuza vitu vyangu
Kwa kununua kipande cha nguo
Na vidwe vichache
(Fanya kiwe cheupe, chenye mkia mrefu)
Ili mtoto, mahali gani katika Gaza,
Pale akitazama mbinguni
Akingojea babake aliyeondoka katika moto--
Na hakumuaga mtu
Hata si nyama yake
Hata si mwenyewe--
Aone mwewe, mwewe wangu ulioujenga, utaporuka juu juu
Na ili afikirie kwa kitambo kidogo kwamba malaika apo
Kwa kuleta upendo
Kama lazima nife
Iwe ni hadithi